Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w14 3/1 uku. 6
  • Tukio ambalo hupaswi kukosa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Tukio ambalo hupaswi kukosa
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2014
  • Habari Zinazolingana
  • Kifo cha Yesu Huadhimishwa—Lini na Wapi?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2015
  • Mlo wa Jioni wa Bwana Una Maana Kubwa Kwako
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2003
  • Ukumbusho (Mlo wa Jioni wa Bwana)
    Kutoa Sababu kwa Kutumia Maandiko
  • Tunapaswa Kukumbuka Kifo cha Yesu Jinsi Gani?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2012
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2014
w14 3/1 uku. 6
Yesu akinyoosha mkono wake ili kukualika kwenye ukumbusho

HABARI KUU | MUNGU AMEKUFANYIA NINI?

Tukio Ambalo Hupaswi Kukosa

Jioni iliyotangulia kifo chake, Yesu aliwaagiza wafuasi wake waaminifu wakumbuke dhabihu yake. Akitumia mkate usiotiwa chachu na divai nyekundu, alianzisha sherehe ambayo huitwa Chakula cha Bwana au Mlo wa Jioni wa Bwana, kisha akawaamuru: “Endeleeni kufanya hivi kwa kunikumbuka mimi.”​—Luka 22:19.

Kila mwaka, Mashahidi wa Yehova ulimwenguni pote hukusanyika ili kukumbuka kifo cha Yesu. Mwaka wa 2014, Ukumbusho huo utakuwa siku ya Jumatatu, Aprili 14, baada ya jua kutua.

Unakaribishwa kwa uchangamfu uhudhurie mkutano huo ili upate habari zaidi kuhusu umuhimu wa dhabihu ya kifo cha Yesu. Kiingilio ni bure. Sadaka hazitakusanywa. Aliyekupa gazeti hili anaweza kukuambia muda na mahali ambapo Ukumbusho utafanyika katika eneo lililo karibu nawe, au unaweza kutembelea Tovuti yetu ya jw.org/sw. Tafadhali andika tarehe na mahali hapo ili usisahau kuhudhuria.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki