Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w15 8/15 kur. 1-2
  • Yaliyomo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yaliyomo
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2015
  • Vichwa vidogo
  • TOLEO LA FUNZO
  • MAKALA ZA FUNZO
  • PIA KATIKA TOLEO HILI
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2015
w15 8/15 kur. 1-2

Yaliyomo

Agosti 15, 2015

© 2015 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania

TOLEO LA FUNZO

SEPTEMBA 28, 2015–OKTOBA 4, 2015

Tafakari Upendo wa Yehova

UKURASA WA 9

OKTOBA 5-11, 2015

Endelea Kutarajia!

UKURASA WA 14

OKTOBA 12-18, 2015

Jitayarishe Sasa Kuishi Katika Ulimwengu Mpya

UKURASA WA 19

OKTOBA 19-25, 2015

Jihadhari na Mashirika Mabaya Katika Siku Hizi za Mwisho

UKURASA WA 24

MAKALA ZA FUNZO

▪ Tafakari Upendo wa Yehova

Sikuzote Yehova anawapenda watu wake. Katika makala hii tutachunguza jinsi ambavyo Mungu ameonyesha upendo wake. Kutafakari upendo wa Yehova kutakusaidia kuimarisha uhusiano wako pamoja naye.

▪ Endelea Kutarajia!

▪ Jitayarishe Sasa Kuishi Katika Ulimwengu Mpya

Kupita kwa muda hakupaswi kutufanya tuache kutarajia baraka zitakazoletwa na Ufalme. Kuna sababu nyingi zinazotuchochea kuendelea kutarajia baraka hizo. Makala hizi zitazungumzia jinsi tunavyoweza kufanya hivyo.

▪ Jihadhari na Mashirika Mabaya Katika Siku Hizi za Mwisho

Kwa nini ni muhimu kujihadhari na mashirika mabaya katika siku hizi za mwisho? Neno la Mungu linatusaidiaje kufanya hivyo? Maswali hayo yatajibiwa katika makala hii.

PIA KATIKA TOLEO HILI

3 ‘Visiwa na Vishangilie’

29 Tunajifunza Nini Kutoka kwa Yoana?

31 Kutoka Katika Hifadhi ya Vitu Vyetu vya Kale

JALADA: Kijana akitoa ushahidi isivyo rasmi katika jiji la Esperanza kwa kuonyesha video kutoka kwenye tovuti ya jw.org

ARGENTINA

IDADI YA WATU

42,670,000

WAHUBIRI

150,171

MAPAINIA WA KAWAIDA

18,538

MAFUNZO YA BIBLIA

126,661

HUDHURIO LA UKUMBUSHO (2014)

307,654

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki