Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w19 Juni uku. 32
  • Habari Zilizoteuliwa Kwenye JW.ORG

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Habari Zilizoteuliwa Kwenye JW.ORG
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2019
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2019
w19 Juni uku. 32

Habari Zilizoteuliwa Kwenye JW.ORG

JE, NI KAZI YA UBUNI?

Uwezo wa Pomboo wa Kutumia Sauti

Wanasayansi wanajaribu kuiga uwezo wa pomboo anayeitwa bottlenose wa kutumia sauti ili kutokeza teknolojia ya hali ya juu zaidi itakayotumiwa majini.

Kwenye jw.org/sw, tafuta kwenye MAFUNDISHO YA BIBLIA > SAYANSI NA BIBLIA > JE, NI KAZI YA UBUNI?

MSAADA KWA AJILI YA FAMILIA

Jinsi ya Kumsaidia Mtoto Wako Afanye Vizuri Shuleni

Kumshinikiza mtoto wako kutamfanya awe na mahangaiko shuleni na nyumbani. Wazazi wanahitaji kutambua tatizo linalomfanya mtoto apate alama za chini na kumtia moyo ajifunze.

Kwenye jw.org/sw, tafuta kwenye MAFUNDISHO YA BIBLIA > NDOA NA FAMILIA > KULEA WATOTO.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki