Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 3/88 uku. 3
  • Matangazo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Matangazo
  • Huduma Yetu ya Ufalme—1988
Huduma Yetu ya Ufalme—1988
km 3/88 uku. 3

Matangazo

● Toleo la vitabu kwa Machi: Life—How Did It Get Here? By Evolution or by Creation? Aprili na Mei: Uandikishaji wa Mnara wa Mlinzi kwa mwaka mmoja. Ikiwa uandikishaji haufanywi, toa magazeti mawili na broshua ya Jina.

● Mwangalizi msimamizi au mtu mwingine aliyechaguliwa naye apaswa kukagua hesabu ya kundi Machi 1 au muda mfupi baada ya hapo.

● Painia wo wote wa kawaida ambaye anapendezwa kutumikia kama painia wa pekee wa muda katika eneo lisilogawiwa mtu wakati wa kampeni ya Julai-Septemba apaswa aandikie afisi ya tawi kufikia Aprili 1, 1988. Mwishoni mwa barua tungethamini kuona maelezo mafupi kutoka kwa mwandishi wa kundi kuhusu kupatikana na mauwezekano ya painia huyo.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki