Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 4/88 uku. 7
  • Matangazo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Matangazo
  • Huduma Yetu ya Ufalme—1988
Huduma Yetu ya Ufalme—1988
km 4/88 uku. 7

Matangazo

● Toleo la vitabu kwa Aprili na Mei: Uandikishaji wa Mnara wa Mlinzi. Ikiwa uandikishaji haufanywi, toa magazeti mawili na broshua ya Jina. Juni na Julai: Kuokolewa Kuingia Katika Dunia Mpya au Furaha—Jinsi ya Kuipata.

● Wazee wapaswa wahakikishe kwamba wanaijulisha Sosaiti wakati wo wote painia wa kawaida anapoondolewa au anapoondoka katika orodha. Ye yote ambaye analazimika kuacha upainia lazima angojee miezi sita kabla hajaomba tena. Ombi jingine lazima lipelekwe kabla hajawekwa rasmi.

● Mwandishi wa Kundi: Mara tu baada ya Ukumbusho Aprili 1, tafadhali jaza kikaratasi cha ripoti ya Ukumbusho na ukipeleke kwenye afisi ya tawi bila kukawia.

● Kundi laweza kuagiza makala iliyochapishwa tena kutoka jarida moja la kitiba katika Awake! Juni 22, 1982. Tafadhali angalieni kwamba kuna akiba ya kadiri tu inayopatikana.

● Makundi yamepaswa kuagiza sasa nakala za kutosha za kijitabu Blood kwa ajili ya funzo la kundi kuanzia Juni.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki