Matangazo
● Toleo la fasihi (vitabu) kwa Mei: Uandikishaji wa Mnara wa Mlinzi. Ikiwa uandikishaji haufanywi, toa magazeti mawili na broshua ya Jina. Juni na Julai: Kuokolewa Kuingia Katika Dunia Mpya au Furaha—Jinsi ya Kuipata. Agosti: Kimoja cha broshua zifuatazo zenye kurasa 32 ukubwa wa gazeti: Furahia Maisha Milele Duniani!, Jina la Mungu Litakaloendelea Milele, Serikali Itakayoleta Paradiso, au Mashahidi wa Yehova Katika Karne ya Ishirini.
● Wazee wapaswa wahakikishe kwamba wanaijulisha Sosaiti wakati wo wote painia wa kawaida anapoondolewa au anapoondoka katika orodha. Ye yote ambaye analazimika kuacha upainia lazima angojee miezi sita kabla hajaomba tena. Ombi jingine lazima lipelekwe kabla hajawekwa rasmi.
● Tarehe za kujaribia za “Haki ya Kimungu” Mkusanyiko wa Wilaya kwa 1988:
Desemba 15-18 Dar es Salaam
Mombasa
Desemba 22-25 Mbeya
Nairobi
Desemba 29-Januari 1 Arusha
Kakamega
Januari 5-8 1989 Kampala
Ushelisheli
● Vifaa Vinavyopatikana:
Kiingereza:
Kitabu cha Mwaka 1988, Mabuku ya Watchtower na Awake! 1987; Fahirisi 1930-85; Fahirisi 1986; Kijitabu Blood; All Scriptures; Your Youth; Creation ndogo;
Good News; More to Life;
God Who Cares; God’s Way;
Submission, Vichwa
Swahili:
Kijitabu Damu; Kiongozi Cha Shule; Mungu Anajali; Roho Zisizoonekana; Serikali Itakayoleta
Paradiso; Tazama!
Furahia Maisha katika
—Kikamba, Luhya-Bunyore;
Kinyakyusa; Haya;
Nyiha; Sukuma;
Rutoro; Runyankore.
Serikali Itakayoleta Paradiso—Luo.
● Tanzania: Bei ya painia kwa Kitabu Changu, Unaweza Kuishi (chapa kubwa), na Creation (chapa kubwa) ni Tshs. 100/=. Tafadhali andika hivyo kwenye Orodha ya Bei yenu.