Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 10/88 uku. 7
  • Matangazo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Matangazo
  • Huduma Yetu ya Ufalme—1988
Huduma Yetu ya Ufalme—1988
km 10/88 uku. 7

Matangazo

● Toleo la fasihi kwa Oktoba: Andikisho la mwaka mmoja la ama Amkeni! ama Mnara wa Mlinzi ama magazeti yote mawili. Novemba: New World Translation pamoja na kitabu “Ufalme Wako Uje.” Desemba: Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia au Unaweza Kuishi Milele Katika Paradiso Duniani. Broshua yoyote inaweza kutumiwa ikiwa toleo la badala. Januari na Februari: Chochote cha vitabu vyenye kurasa 192 ambacho kilitangazwa kabla ya 1980 na hakikuchapishwa kwenye karatasi nzuri sana kwa nusu ya mchango wa kawaida.

● Baji za mkusanyiko wa Wilaya kwa 1988 zitapelekwa na kutiwa pamoja na upakizi ujao wa vichapo. Hazitahitaji kuziagiza. Kulingana na ukubwa wa kila kundi, bidhaa zitapangwa katika vifungu vya 25. Hesabu ya fasihi itatozwa kwa kulingana.

● Makundi yanapaswa yaanze kuagiza Kuyachunguza Maandiko Kila Siku—1989 pamoja na agizo lao la fasihi la Oktoba. Vijitabu hivyo vitapatikana katika Kiarabu, Kiingereza, Kifaransa na Kiswahili. Kijitabu Kuyachunguza Maandiko Kila Siku ni bidhaa ya kuagizwa kwa kiasi nacho kitatozwa bei kwenye hesabu ya vitabu kwa bei ya wahubiri. Mapainia wa kawaida na wa pekee ambao wamekuwa kwenye orodha kabla ya Julai 1, 1988, wanaweza kupokea nakala moja ya bure na kupata nakala zaidi kwa bei ya painia. Nakala za bure kwa mapainia zinapaswa zionyeshwe zikiwa pekee kwenye fomu ya malipo ya kila mwezi (S-20).

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki