Habari za Kitheokrasi
◆ Antigua ilikuwa na kilele kipya cha wahubiri 253 katika Agosti ikiwa ni ongezeko la asilimia 18.
◆ Ubelgiji iliripoti kilele kipya cha wahubiri 24,464 wakati wa Agosti, kikiwa ni ongezeko la asilimia 8 juu ya wastani wa mwaka jana. Jumla ya waliobatizwa mwaka huo ilikuwa ni 1,573.
◆ Brazili ilimaliza mwaka wa utumishi wa 1989 ikiwa na wahubiri 266,720, likiwa ni ongezeko la asilimia 17 juu ya wastani wa mwaka jana.