Matangazo
● Toleo la fasihi kwa Mei: Maandikisho ya Mnara wa Mlinzi na Amkeni! Juni: Kuokolewa Kuingia Katika Dunia Mpya. Julai na Agosti: Yoyote ya broshua za kurasa 32, isipokuwa broshua Shule.
● Vichapo Vinavyotazamiwa Akibani Karibuni:
Serikali Itakayoleta Paradiso:—Kiswahili, Luo
● Tarehe na vituo vilivyokusudiwa vya “Lugha Safi” Mikusanyiko ya Wilaya ya 1990:
Tarehe: Mahali:
Novemba 1-4, 1990
Mbeya, Tanzania
Victoria, Ushelisheli
Novemba 29–Desemba 2, 1990
Mombasa, Kenya
Mbale, Uganda
Desemba 6-9, 1990
Kampala, Uganda
Eldoret, Kenya
Desemba 13–16, 1990
Dar es Salaam, Tanzania
Moshi, Tanzania
Desemba 20-23, 1990
Nairobi, Kenya
Desemba 27–30, 1990
Kisumu, Kenya
Mwanza, Tanzania