Matangazo
● Machi: Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu! Aprili na Mei: Uandikishaji wa Mnara wa Mlinzi. Juni: Mankind’s Search for God.
● Mwangalizi msimamizi au mtu aliyepewa mgawo naye apaswa kukagua hesabu za kundi Machi 1, au upesi baada ya hapo. Tangazia kundi jambo hilo likiisha fanywa.
● Vichapo Vilivyo Akibani:
Kilichosahihishwa “All Scripture Is Inspired of God and Beneficial” —Kiingereza
How to Find the Road to Paradise (trakti ya kurasa nne yenye ukubwa wa gazeti kwa ajili ya Waislamu) —Kiingereza
1991 Calendar —Kiingereza
Mankind’s Search for God —Kifaransa
Kitabu-Mwaka 1990 —Kiswahili