Mikutano ya Utumishi wa Shambani
Septemba 30-Oktoba 6: Kutumia gazeti la Amkeni!
(a) Utaunganishaje Kichwa cha Mazungumzo na toleo?
(b) Ni habari zipi kwenye ukurasa wa 4 na 5 wa kila toleo zinazoweza kutumiwa?
Oktoba 7-13: Matangulizi
(a) Kwa nini ni jambo la maana kuwa na utangulizi wenye kuleta mafanikio? (rs-SW uku. 9)
(b) Wewe unatumia matangulizi yapi?
Oktoba 14-20: Kwa Kichwa cha Mazungumzo
(a) Ungempaje sababu mwenye nyumba akisema ana dini yake mwenyewe (rs-SW kur. 18-19)
(b) Ungesema nini mwenye nyumba akikwambia hapendezwi? (rs-SW uku. 16)
Oktoba 21-27: Ziara za kurudia
(a) Ni matayarisho gani yayohitajiwa?
(b) Unajijulishaje unapofanya ziara ya kurudia?
Oktoba 28-Novemba 3: Ukitumia toleo la Novemba
(a) Ni faida zipi za New World Translation ziwezazo kuonyeshwa?
(b) Ni mambo gani hususa kutoka broshua Tazama! yanayoweza kutumiwa?