Mikutano ya Utumishi wa Shambani
Desemba 2-8: Kichwa cha Mazungumzo
(a) Pitia utangulizi na maandiko.
(b) Utatoaje utangulizi wa toleo?
Desemba 9-15: Unapotoa toleo
(a) Ni sura gani utakazoonyesha?
(b) Ni vielezi gani utakavyotaja?
Desemba 16-22: Utaitikiaje
(a) Salamu za sikukuu?
(b) Maswali kuhusu kwa nini sisi hatusherehekei Krismasi?
Desemba 23-29: Utasema nini
(a) Mwenye nyumba anapokuwa na shughuli ya kukaribisha wageni?
(b) Ukimfanya mwenye nyumba aondoke kitandani?