Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 4/93 uku. 7
  • Matangazo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Matangazo
  • Huduma Yetu ya Ufalme—1993
Huduma Yetu ya Ufalme—1993
km 4/93 uku. 7

Matangazo

◼ Fasihi inayotolewa Aprili na Mei: Uandikishaji wa Mnara wa Mlinzi na Amkeni! Juni: Yule Mtu Mkuu Zaidi Aliyepata Kuishi. Julai na Agosti: Yoyote ya broshua zifuatazo yaweza kutumiwa: Je! Kweli Mungu Anatujali?, Furahia Milele Maisha Duniani, “Tazama! Mimi Ninafanya Vitu Vyote Kuwa Vipya,” Je! Uamini Utatu?, Jina la Mungu Litakaloendelea Milele, au Serikali Itakayoleta Paradiso. TAARIFA: Makundi yatakayohitaji vifaa vya kampeni vilivyotajwa juu yapaswa yaviagize kwenye Fomu ya Agizo la Vitabu (S-14-SW) la kila mwezi litakalofuata.

◼ Vichapo Vinavyotazamiwa Karibuni:

Kiingereza: Mabuku yaliyojalidiwa ya Mnara wa Mlinzi na Amkeni! ya 1992; Vidiokaseti: Jehovah’s Witnesses—The Organization Behind the Name. Kifaransa: Kuyachunguza Maandiko Kila Siku; The Path of Divine Truth Leading to Liberation. Furahia Milele Maisha Duniani! katika lugha zifuatazo: Bari, Sukuma.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki