Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 12/93 uku. 7
  • Matangazo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Matangazo
  • Huduma Yetu ya Ufalme—1993
Huduma Yetu ya Ufalme—1993
km 12/93 uku. 7

Matangazo

◼ Toleo la fasihi kwa ajili ya Desemba: Yule Mtu Mkuu Zaidi Aliyepata Kuishi. Januari: Kitabu chochote chenye kurasa 192 kilichochapishwa kwenye karatasi inayobadilika rangi na kuwa manjano au inayochakaa au kitabu chochote kilichotangazwa kabla ya 1980 chaweza kutolewa kwa bei nusu ya ile ya kawaida. Kupunguziwa kwa mapainia ni nusu ya bei ya kawaida pia. Makutaniko ambayo hayana ugavi wa vitabu hivyo yaweza kutoa kitabu Jitihada ya Ainabinadamu ya Kutafuta Mungu. Februari: Unaweza Kuishi Milele Katika Paradiso Duniani. Machi: Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu! ANGALIA: Makutaniko yatakayohitaji vifaa vya kampeni vilivyotajwa juu yapaswa yaviagize kwenye Fomu yao itakayofuata ya Agizo la Vitabu (S-14-SW) ya kila mwezi.

◼ Mwangalizi msimamizi au mtu yeyote aliyewekwa naye apaswa kukagua hesabu ya kutaniko katika Desemba 1 au upesi iwezekanavyo baada ya hapo. Tangazieni kutaniko jambo hili lifanywapo.

◼ Vichapo Vipatikanavyo:

Kiswahili: Je! Ulimwengu Usio na Vita Utakuwako Wakati Wowote?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki