Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 11/95 uku. 3
  • Matangazo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Matangazo
  • Huduma Yetu ya Ufalme—1995
Huduma Yetu ya Ufalme—1995
km 11/95 uku. 3

Matangazo

◼ Fasihi ya kutumiwa wakati wa Novemba: Toa New World Translation pamoja na kitabu Biblia—Neno la Mungu au la Binadamu? Desemba: Yule Mtu Mkuu Zaidi Aliyepata Kuishi. Januari: Kitabu chochote chenye kurasa 192 kilichotangazwa kabla ya 1982 ambacho kutaniko laweza kuwa nacho akibani. Makutaniko ambayo hayana akiba ya vitabu hivyo yaweza kutoa Kuokolewa Kuingia Katika Dunia Mpya. Februari: Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu! waweza kutolewa. TAARIFA: Makutaniko ambayo bado hayajaagiza bidhaa za kampeni zilizotajwa hapo juu yapaswa kufanya hivyo kwenye Fomu ya Kuomba Fasihi (S-14-SW) ya kila mwezi inayofuata.

◼ Marekebisho yamefanywa kwa tarehe za mkusanyiko wa wilaya Uganda: Mkusanyiko wa Kampala wa Kiingereza utafanywa Desemba 29-31, 1995. Mkusanyiko wa Kampala wa Kiganda na mkusanyiko wa Mbale yote miwili imeratibiwa kufanywa Januari 5-7, 1996.

◼ Makutaniko yapaswa kuanza kuagiza kitabu Kitabu-Mwaka cha Mashahidi wa Yehova—1996 pamoja na agizo lao la fasihi la Novemba. (Ona Orodha ya Bei, fungu 10.) Kitabu Kitabu-Mwaka kitapatikana katika Kiarabu, Kifaransa, na Kiingereza.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki