Matangazo
◼ Toleo la fasihi la Mei: Maandikisho ya Mnara wa Mlinzi na Amkeni! Mahali ambapo andikisho halichukuliwi toa magazeti yote mawili. Broshua mpya, Mungu Anataka Tufanye Nini?, yaweza kutumiwa. Juni: Ujuzi Uongozao Kwenye Uhai Udumuo Milele. Kazia kuanzisha mafunzo ya Biblia nyumbani. Julai na Agosti: Yoyote ya broshua zenye kurasa 32 zifuatazo: Furahia Milele Maisha Duniani!, Je! Kweli Mungu Anatujali?, Je, Uamini Utatu?, Mtu Fulani Umpendaye Anapokufa, Ni Nini Lililo Kusudi la Uhai—Wewe Waweza Kulipataje?, na Serikali Itakayoleta Paradiso.
◼ Vichapo Vinavyopatikana:
Furahia Milele Maisha Duniani! —Kibari, Kirunyakore
Je, Kweli Mungu Anatujali? —Kiswahili
Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia (Ndogo) —Kiamhara, Kipunjabi
Lasting Peace and Happiness —Kichina (Sahili), Kiingereza
Mabuku Yaliyojalidiwa ya Amkeni! ya 1996 —Kiingereza
Mungu Anataka Tufanye Nini? —Kihindi
Mwimbieni Yehova Sifa (Nyimbo 100) —Kiamhara
Ujuzi Uongozao Kwenye Uhai Udumuo Milele —Kiganda, Kiswahili
Unaweza Kuishi Milele Katika Paradiso Duniani (Ndogo) —Kitigrinya
◼ Kaseti Zinazopatikana:
Singing Kingdom Songs (Kaseti moja) —Kiingereza
◼ Vidiokaseti Zinazopatikana:
Purple Triangles —Kifaransa
Ujuzi Uongozao Kwenye Uhai Udumuo Milele (Buku la 6) —Lugha ya Ishara ya Kimarekani