Habari Za Kitheokrasi
Kuwekwa Wakfu kwa Majumba ya Ufalme: Hivi majuzi Majumba ya Ufalme yafuatayo yaliwekwa wakfu:
Mbale, Uganda
Nairobi Kasarani, Kenya
Ripoti ya Ukumbusho: Katika Afrika Mashariki tulikuwa na hudhurio la Ukumbusho la jumla ya 89,594, ambalo lawakilisha ongezeko la asilimia 33.7 zaidi ya mwaka uliopita. Baadhi ya mahudhurio yalikuwa kama ifuatavyo:
Nchi: Hudhurio:
Kenya: 35,236
Rwanda: 20,121!
Tanzania: 22,284
Uganda: 7,190
Tafadhali endeleeni kufuatia kupendezwa kulikoonyeshwa na wale waliohudhuria Ukumbusho mwaka huu.