Habari Za Kitheokrasi
Majengo Mapya ya Ofisi ya Tawi: Mwezi wa Julai tulihamia ofisi mpya ya tawi kwenye Elgeyo Marakwet Road, eneo la Kilimani, Nairobi. Zifuatazo ndizo namba mpya za simu: 573211 - 20. Namba ya FAX ni: 571804.
Tanzania: Jumba la Ufalme la Moshi Mashariki, Tanzania liliwekwa wakfu hivi majuzi.