Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 8/98 uku. 2
  • Habari Za Kitheokrasi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Habari Za Kitheokrasi
  • Huduma Yetu ya Ufalme—1998
Huduma Yetu ya Ufalme—1998
km 8/98 uku. 2

Habari Za Kitheokrasi

Kenya: Kulikuwa na kilele kikuu kupita vyote cha mapainia-wasaidizi 2,091 katika Aprili 1998. Hiyo ilikuwa mara ya kwanza kufikia kiwango cha mapainia-wasaidizi 2,000 katika mwezi mmoja.

Rwanda: Majumba ya Ufalme mawili zaidi katika nchi hii yaliwekwa wakfu hivi majuzi. Hayo yalikuwa katika Kigali Gatsata na Gatumba.

Sudan: Walikuwa na hudhurio zuri la Ukumbusho ambalo lilikuwa zaidi ya mara tano ya idadi ya wahubiri!

Tanzania: Kilele cha wahubiri 7,204 katika Aprili kilifikiwa na kilele kipya cha mapainia-wasaidizi 824 kikafikiwa katika Aprili 1998.

Uganda: Mwezi wa Aprili 1998, magazeti 12,765 yaliangushwa. Hiki kilikuwa kilele kikuu kuliko vyote cha magazeti yaliyoangushwa kwa mwezi mmoja nchini humo.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki