Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 5/99 uku. 7
  • Matangazo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Matangazo
  • Huduma Yetu ya Ufalme—1999
Huduma Yetu ya Ufalme—1999
km 5/99 uku. 7

Matangazo

◼ Toleo la fasihi la Mei: Maandikisho ya Mnara wa Mlinzi na Amkeni! Mahali ambapo andikisho halichukuliwi, toa magazeti yote mawili kwa mchango wa kawaida. Pia uwe na broshua Anataka kwa ajili ya watu wenye kupendezwa, na ujitahidi kuanzisha mafunzo ya Biblia ya nyumbani. Juni: Ujuzi Uongozao Kwenye Uhai Udumuo Milele. Julai na Agosti: Broshua zozote zifuatazo zenye kurasa 32 zaweza kutumiwa: Furahia Milele Maisha Duniani!, Je! Kweli Mungu Anatujali?, Je! Uamini Utatu?, Mtu Fulani Umpendaye Anapokufa, Ni Nini Hutupata Tunapokufa?, Ni Nini Lililo Kusudi la Uhai—Wewe Waweza Kulipataje?, na Serikali Itakayoleta Paradiso. Broshua Kitabu kwa Ajili ya Watu Wote, Roho za Wafu—Je! Zaweza Kukusaidia au Kukuumiza? Je! Ziko Kweli?, Je! Ulimwengu Usio na Vita Utakuwako Wakati Wowote?, na Our Problems –Who Will Help Us Solve Them? zaweza kutolewa mahali panapozifaa.

◼ Kaseti Mpya Zinazopatikana:

Lasting Peace and Happiness—How to Find Them (kaseti moja)—Kichina (Mandarin)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki