Matangazo
◼ Toleo la fasihi la Oktoba: Toa maandikisho ya Mnara wa Mlinzi na Amkeni! Mahali ambapo maandikisho hayachukuliwi, toa nakala mojamoja za magazeti kwa mchango wa kawaida. Novemba: Mungu Anataka Tufanye Nini? au Ujuzi Uongozao Kwenye Uhai Udumuo Milele. Pia vichapo vya bei ya pekee vyaweza kupewa watu wenye kupendezwa na mafunzo ya Biblia ambayo tayari yana kitabu Ujuzi na broshua Anataka. Desemba: Ujuzi Uongozao Kwenye Uhai Udumuo Milele pamoja na Tafsiri ya Ulimwengu Mpya. Januari: Kitabu chochote chenye kurasa 192 kilichochapishwa kabla ya 1986 ambacho huenda kutaniko likawa nacho akibani. Makutaniko ambayo hayana vitabu hivyo yaweza kutoa vichapo vingine vyovyote vilivyopo kutanikoni. Vichapo hivyo vyaweza kuagizwa kutoka kwa Sosaiti kama havipo kutanikoni.
◼ Nyongeza iliyo katika toleo hili la Huduma ya Ufalme Yetu ni “Ratiba ya Shule ya Huduma ya Kitheokrasi ya 2000” na yapasa kuwekwa kwa ajili ya marejezo mwaka wote wa 2000.
◼ Ikiwa saa za mkutano za kutaniko lenu zitabadilika Januari 1, huenda kukawa na uhitaji wa kuagiza vikaratasi vya ukaribishaji vya kuonyesha saa za mkutano zilizorekebishwa.
◼ Mialiko ya Ukumbusho ya 2000 katika lugha kuu ya kila kutaniko imetiwa ndani ya upakizi wa kila mwaka wa fomu au itapelekwa baadaye. Ikiwa kuna lugha nyingine katika eneo lenu na mngependa mialiko ya lugha hizo, hiyo yapasa kuagizwa mara moja kupitia Fomu ya Kuomba Fasihi (S-14-SW). Mialiko ya Ukumbusho yapatikana katika Kiarabu, Kichina, Kichina (Sahili), Kifaransa, Kigujarati, Kihindi, Kiingereza, Kiganda, Kinyarwanda, Kipunjabi, Kirundi, na Kiswahili. Tafadhali ombeni tu lugha zile zinazohitajiwa katika eneo lenu.
◼ Makutaniko yanapaswa kuanza kuagiza Kuyachunguza Maandiko Kila Siku—2000 katika agizo lao la fasihi la Oktoba. Vijitabu hivyo vitapatikana katika Kiamhara, Kiarabu, Kichina, Kichina (Sahili), Kifaransa, Kigujarati, Kihindi, Kiingereza, Kiganda, Kinyarwanda, Kipunjabi, Kirundi, na Kiswahili. Vijitabu vya Kuyachunguza Maandiko ni bidhaa za kuagizwa kipekee.
◼ Kikumbusha Chenye Msaada. Katika Huduma ya Ufalme Yetu ya Juni 1999, tulitiwa moyo tutumie vizuri vidio na drama inapowezekana. Drama, vidio, na kaseti zifuatazo zapatikana na zaweza kuagizwa.
◼ Kaseti Zinazopatikana:
Kumsikiliza Mwalimu Mkuu —Kiingereza, Kiswahili
Yehova Huokoa Wale Wanaoita Juu ya Jina Lake —Kiingereza, Kiswahili
Doing God’s Will With Zeal —Kiingereza
Doing What is Right in Jehovah’s Eyes —Kiingereza
Families—Make Daily Bible Reading Your Way of Life —Kiingereza
Jehovah’s Judgment Against Law-Defying People —Kiingereza
Jehovah’s Name to be Declared in all the Earth —Kiingereza
Keep Your Eye Simple —Kiingereza
Preserving Life in Time of Famine —Kiingereza
The Greatest Man Who Ever Lived —Kiingereza
What Does God Require of Us? —Kiingereza
Why Respect Theocratic Arrangements —Kiingereza
◼ Vidiokaseti Zinazopatikana:
Jehovah’s Witnesses—The Organization Behind the Name —Kiingereza
Noah—He Walked With God —Kiingereza
The Bible—Accurate History, Reliable Prophecy —Kiingereza
The Bible—Its Power in Your Life —Kiingereza
The Bible—Mankind’s Oldest Modern Book —Kiingereza
The New World Society in Action —Kiingereza
United by Divine Teaching —Kiingereza
◼ Vidiokaseti za Lugha ya Ishara Zinazopatikana:
Jehovah’s Witnesses—The Organization Behind the Name —Kiingereza
Knowledge That Leads to Everlasting Life —Kiingereza
Look I Am Making All Things New —Kiingereza
Secret of Family Happiness —Kiingereza
The Bible—Accurate History, Reliable Prophecy —Kiingereza
You Can Live Forever in Paradise on Earth —Kiingereza