Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 10/99 uku. 2
  • Habari Za Kitheokrasi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Habari Za Kitheokrasi
  • Huduma Yetu ya Ufalme—1999
Huduma Yetu ya Ufalme—1999
km 10/99 uku. 2

Habari Za Kitheokrasi

Romania: Maongezeko mazuri yalionekana katika utendaji wa painia na idadi ya mafunzo ya Biblia yaliyoongozwa, kukiwa na kilele kipya cha wahubiri 37,502 shambani mwezi wa Februari.

Rwanda: Kampeni ya Ujenzi wa Majumba ya Ufalme katika Rwanda yaendelea vizuri. Kufikia mwezi wa Juni 1999, Majumba ya Ufalme 16 yaliwekwa wakfu. Mengi ya majumba hayo yameripotiwa kwenye Huduma ya Ufalme Yetu kwenye Habari za Kitheokrasi kuanzia toleo la Januari 1998 hadi toleo la Agosti 1999. Majumba ya Ufalme yafuatayo ni miongoni mwa yale 16 yaliyowekwa wakfu: Butare, Kigali Sud, Matyazo, Nyakinama, Rebero na Shaki.

Visiwa vya Marshall: Mwezi wa Februari kulikuwa na jumla ya wahubiri 203—ongezeko la asilimia 4 zaidi ya mwezi wa Februari mwaka uliopita!

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki