Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 2/00 uku. 7
  • Matangazo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Matangazo
  • Huduma Yetu ya Ufalme—2000
Huduma Yetu ya Ufalme—2000
km 2/00 uku. 7

Matangazo

◼ Toleo la fasihi la Februari: Siri ya Kupata Furaha ya Familia. Machi: Ujuzi Uongozao Kwenye Uhai Udumuo Milele. Jitihada ya pekee itafanywa ili kuanzisha mafunzo ya Biblia ya nyumbani. Aprili na Mei: Nakala mojamoja za Mnara wa Mlinzi na Amkeni! Uwe na broshua Anataka karibu kwa ajili ya watu wenye kupendezwa, na ujitahidi kuanzisha mafunzo ya Biblia ya nyumbani.

◼ Mwandishi na mwangalizi wa utumishi wapaswa kupitia utendaji wa mapainia wote wa kawaida. Ikiwa kuna wowote wanaopata ugumu wa kutimiza takwa la saa, wazee wapaswa kupanga ili usaidizi utolewe. Ili kupata madokezo, pitia barua za kila mwaka za Sosaiti S-201-SW za Oktoba 1. Ona pia fungu la 12-20 la nyongeza ya Huduma ya Ufalme Yetu ya Septemba 1986.

◼ Mwandishi apaswa kuhakikisha kwamba Halmashauri ya Ujenzi ya Mkoa inajulishwa hali ya wahubiri wote waliobatizwa ambao wamepeleka fomu za Kingdom Hall Volunteer Worker Questionnaire (S-82). Kunapokuwa na marekebisho kuhusu hali ya mwenye kujitolea, kama vile mtu akihama au kuwekwa kuwa mtumishi wa huduma au mzee, fomu mpya zapasa kujazwa mara moja na kupelekwa. Anwani ya mwenye kujitolea au namba ya simu ikibadilika, au kama hana msimamo mzuri tena kutanikoni, wazee wapaswa kujulisha halmashauri ya mkoa upesi kwa barua.

◼ Kuanzia juma la Aprili 17, 2000, tutajifunza kitabu Sikiliza Unabii wa Danieli! katika Funzo la Kitabu la Kutaniko.

◼ Vichapo Vipya Vinavyopatikana:

Mungu Anataka Tufanye Nini? —Kiluo

Gazeti Amkeni! sasa litapatikana katika Kilithuania likiwa toleo la mara mbili kwa mwezi.

◼ Kaseti Mpya Zinazopatikana:

Appreciating Our Spiritual Heritage (Drama, kaseti moja) —Kiingereza

◼ Kaseti Mpya za Vidio Zinazopatikana:

Noah—He Walked With God —Kifaransa

◼ Vichapo Vipya vya Braille Vinavyopatikana:

Je, Kuna Muumba Anayekujali? (mabuku mawili) —Gredi ya pili Kifaransa

Je, Kuna Muumba Anayekujali? (mabuku matatu) —Gredi ya kwanza Kifaransa

Kuyachunguza Maandiko Kila Siku—2000 (mabuku manne) —Gredi ya pili Kiingereza

Mungu Anataka Tufanye Nini? (buku moja) —Gredi ya pili Kiswahili

Ratiba ya Shule ya Huduma ya Kitheokrasi ya 2000 (buku moja)—Gredi ya pili Kiingereza

Sikiliza Unabii wa Danieli! (mabuku matatu) —Gredi ya pili Kiingereza

Tafadhali tia alama maombi ya vichapo vya Braille ATTENTION: BRAILLE DESK. Tia ndani jina na anwani ya mtu ambaye atatumia vifaa vya Braille.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki