Habari Za Kitheokrasi
Majumba ya Ufalme yafuatayo na ofisi yaliwekwa wakfu hivi majuzi:
Burundi: Ofisi ya Tafsiri ya Burundi huko Bujumbura iliwekwa wakfu wakati wa ziara ya mwangalizi wa kanda ya dunia mwezi wa Januari 2000.
Kenya: Busia, Iten, Karatina, Kutus East, Nairobi Kayole, na Nairobi Kawangware. Majumba ya Ufalme yafuatayo yalikuwa ya kwanza kukamilishwa kwa karibu miezi minne kwa msaada wa Watumishi wa Kimataifa na Wajenzi wa Majumba ya Ufalme katika Kenya: Kutus East, Nairobi Kayole, na Nairobi Kawangware.
Rwanda: Karenge, Kinoni, na Runda.
Tanzania: Dar-es-Salaam Kawe, Mbeya Mwanjelwa, na Morogoro.