Habari Za Kitheokrasi
◼ Majumba ya Ufalme yafuatayo yaliwekwa wakfu hivi karibuni:
Burundi: Buganda, Kitaza, na Ruyaga.
Kenya: Kapenguria na Sondu.
Sudan: Khartoum Northeast, Khartoum Northwest, na Port Sudan South.
Tanzania: Mbeya Uwanja wa Ndege na Mbeya Uyole.
Uganda: Kampala South.