Habari Za Kitheokrasi
◼ Majumba ya Ufalme yafuatayo yaliwekwa wakfu hivi karibuni:
Burundi: Rango.
Kenya: Ahero, Chavakali, Kasikeu, Mutituni, na Sagalla.
Tanzania: Arusha Magharibi, Bagamoyo, Kondeni, na Kwabada.
Uganda: Bugiri, Kiboga, Maracha, na Pallissa.