Habari Za Kitheokrasi
◼ Majumba ya Ufalme yafuatayo yaliwekwa wakfu hivi karibuni:
Kenya: Butere, Ejinja, Katutu, Kinamba, Mombasa Mishomoroni, Nakuru Mashariki, na Zombe Kivaani.
Tanzania: Isangu, Kisegese, Mango, Matiri, Mpemba, Nkanga, Nambala, Shaji, Tarime, na Tunduma Magharibi.
Uganda: Kyangwali na Masindi.