Habari Za Kitheokrasi
◼ Majumba ya Ufalme yafuatayo yaliwekwa wakfu hivi karibuni:
Tanzania: Dar es Salaam Buguruni, Dar es Salaam Mbezi, Kapelekeshi, Nakawale, na Ngolotwa.
Uganda: Jumba la Ufalme la Kajjansi linaloweza kutumiwa hata kwa makusanyiko. Tunafurahi kuwa na jumba la kwanza la aina hiyo nchini Uganda.