Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 5/09 uku. 2
  • Ratiba ya Juma Linaloanza Mei 18

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ratiba ya Juma Linaloanza Mei 18
  • Huduma ya Ufalme—2009
  • Vichwa vidogo
  • JUMA LINALOANZA MEI 18
Huduma ya Ufalme—2009
km 5/09 uku. 2

Ratiba ya Juma Linaloanza Mei 18

JUMA LINALOANZA MEI 18

Wimbo 24

□ Funzo la Biblia la Kutaniko:

lv sura ya 5 ¶1-6, masanduku kwenye uku. 52, 55

□ Shule ya Huduma ya Kitheokrasi:

Usomaji wa Biblia: Kutoka 30-33

Na. 1: Kutoka 31:1-18

Na. 2: Kwa Nini Wakristo wa Karne ya Kwanza Walipewa Zawadi za Kuponya? (rs uku. 358 ¶2–uku. 359 ¶2)

Na. 3: Je, Wewe Hukumbuka Kusema Asante? (lr sura ya 18)

□ Mkutano wa Utumishi:

Wimbo 140

Dak. 5: Matangazo.

Dak. 10: Jina la Mungu Ni Ngome Imara. Hotuba inayotegemea habari chini ya kichwa kidogo cha pili kuanzia ukurasa wa 274 katika kitabu Shule ya Huduma.

Dak. 10: Mambo Matatu Muhimu Katika Utangulizi Mzuri. Mazungumzo pamoja na wasikilizaji yanayotegemea kitabu Kutoa Sababu, ukurasa wa 9, fungu la 1. Baada ya kuzungumzia habari hii, toa onyesho kuhusu utangulizi unaofaa wa toleo la Juni.

Dak. 10: “Jinsi ya Kutayarisha Mkutano wa Utumishi.” Mazungumzo kwa maswali na majibu.

Wimbo 28

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki