Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 9/09 uku. 4
  • Habari Kuu za Utumishi wa Shambani

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Habari Kuu za Utumishi wa Shambani
  • Huduma ya Ufalme—2009
Huduma ya Ufalme—2009
km 9/09 uku. 4

Habari Kuu za Utumishi wa Shambani

Kenya: Katika mwezi wa Aprili kulikuwa na kilele kipya cha wahubiri 22,373, na kwa mara ya kwanza, watu zaidi ya 60,000 walihudhuria Ukumbusho nchini Kenya. Waliohudhuria Ukumbusho mwaka huu ni watu 61,689.

Tanzania: Aprili ulikuwa mwezi wenye mafanikio sana nchini Tanzania. Mafunzo ya Biblia 21,844 yaliongozwa mwezi huo. Mapainia wa pekee waliongoza wastani wa mafunzo 9.0, mapainia wa kawaida wastani wa 5.1, mapainia wasaidizi wastani wa 3.3, na wahubiri wastani wa funzo 1.0 kila mmoja.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki