Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 2/10 uku. 3
  • Pitio la Shule ya Huduma ya Kitheokrasi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Pitio la Shule ya Huduma ya Kitheokrasi
  • Huduma Yetu ya Ufalme—2010
Huduma Yetu ya Ufalme—2010
km 2/10 uku. 3

Pitio la Shule ya Huduma ya Kitheokrasi

Maswali yafuatayo yatazungumziwa katika Shule ya Huduma ya Kitheokrasi juma linaloanza Februari 22, 2010. Mwangalizi wa shule ataongoza pitio la dakika 20 linalotegemea habari zilizozungumziwa katika hotuba ambazo zilitolewa kuanzia juma la Januari 4 hadi Februari 22, 2010.

1. Ni mambo gani ambayo huenda yaliwafanya Waisraeli fulani wakawie kuimiliki Nchi ya Ahadi, na tunaweza kujifunza nini kutokana na jambo hilo? (Yos. 18:2, 3) [it-1-E uku. 359 fu. 5]

2. Ni nini ambacho kwa kweli kilimsukuma Yoshua aseme maneno yaliyo kwenye Yoshua 24:14, 15, na hilo linapaswa kutusukuma tufanye nini? [w08 5/15 uku. 17-18 fu. 4-6]

3. Ni katika njia gani waabudu wa Baali na ibada yao ilikuwa kishawishi na mtego kwa Waisraeli? (Amu. 2:3) [w08 2/15 uku. 27 fu. 2-3]

4. Tunaweza kujifunza nini kutokana na jinsi Ehudi alivyotumia upanga kijasiri? (Amu. 3:16, 21) [w97 3/15 uku. 31 fu. 4]

5. Tunatiwaje moyo tunapojifunza jinsi Yehova alivyomkomboa Gideoni na wanaume wake 300? (Amu. 7:19-22) [w05 7/15 uku. 16 fu. 8]

6. Ni katika njia gani nafsi ya Yehova ilikuwa “haina subira kwa sababu ya taabu ya Israeli”? (Amu. 10:16) [cl uku. 254-255 fu. 10-11]

7. Je, Yeftha alikuwa akikusudia kumtoa mwanadamu kuwa dhabihu alipotoa nadhiri yake? (Amu. 11:30, 31) [w05 1/15 uku. 26 fu. 1]

8. Je, nguvu za Samsoni zilikuwa katika nywele zake? (Amu. 16:18-20) [w05 3/15 uku. 28 fu. 5-6]

9. Kuelewa kitendo cha ajabu cha Samsoni kinachotajwa kwenye Waamuzi 16:3, kunaweza kutusaidiaje? [w04 10/15 uku. 15-16 fu. 7-8]

10. Tunaweza kujifunza nini kuhusu nafsi ya binadamu kutokana na andiko la Waamuzi 16:30? [w90 9/1 uku. 5 fu. 5; sp uku. 13-14]

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki