Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 7/11 uku. 2
  • Ratiba ya Juma Linaloanza Julai 18

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ratiba ya Juma Linaloanza Julai 18
  • Huduma Yetu ya Ufalme—2011
  • Vichwa vidogo
  • JUMA LINALOANZA JULAI 18
Huduma Yetu ya Ufalme—2011
km 7/11 uku. 2

Ratiba ya Juma Linaloanza Julai 18

JUMA LINALOANZA JULAI 18

Wimbo 98 na Sala

□ Funzo la Biblia la Kutaniko:

bt sura ya 6 ¶17-24, sanduku kwenye uku. 48 (Dak. 25)

□ Shule ya Huduma ya Kitheokrasi:

Usomaji wa Biblia: Zaburi 74-78 (Dak. 10)

Na. 1: Zaburi 77:1-20 (Isizidi dak. 4)

Na. 2: Njia za Kumpinga Ibilisi​—Yak. 4:7 (Dak. 5)

Na. 3: Ufalme wa Mungu Utalitakasa Jina la Yehova​—rs uku. 313 ¶2-4 (Dak. 5)

□ Mkutano wa Utumishi:

Wimbo 130

Dak. 5: Matangazo.

Dak. 15: Tunajifunza Nini? Mazungumzo. Soma na uzungumzie Yohana 4:3-24. Zungumzia jinsi tunavyoweza kumwiga Yesu katika huduma yetu. Kisha, panga onyesho la mtu anayehubiri isivyo rasmi katika kikao cha kawaida.

Dak. 15: “Umewatayarisha Watoto Wako?” Maswali na majibu. Waombe wazazi na vijana wataje matatizo hususa ambayo Wakristo hukabili shuleni. Baada ya kuzungumzia fungu la 3, panga onyesho la kipindi cha mazoezi kati ya baba na mtoto kuhusu jinsi ya kukabili matatizo shuleni. Baba anaigiza kama mwalimu na mtoto anamweleza ni kwa nini hatashiriki katika kazi au shughuli fulani ya shule inayopingana na kanuni za Biblia.

Wimbo 91 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki