Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 8/11 uku. 3
  • Ratiba ya Juma Linaloanza Agosti 22

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ratiba ya Juma Linaloanza Agosti 22
  • Huduma Yetu ya Ufalme—2011
  • Vichwa vidogo
  • JUMA LINALOANZA AGOSTI 22
Huduma Yetu ya Ufalme—2011
km 8/11 uku. 3

Ratiba ya Juma Linaloanza Agosti 22

JUMA LINALOANZA AGOSTI 22

Wimbo 54 na Sala

□ Funzo la Biblia la Kutaniko:

bt sura ya 8 ¶8-16 (Dak. 25)

□ Shule ya Huduma ya Kitheokrasi:

Usomaji wa Biblia: Zaburi 106-109 (Dak. 10)

Na. 1: Zaburi 109:1-20 (Isizidi dak. 4)

Na. 2: Ufalme wa Mungu Utaeneza Uadilifu na Haki—rs uku. 316 ¶1-3 (Dak. 5)

Na. 3: Iga Mifano ya Yehova na Yesu kwa Kuonyesha Adabu (Dak. 5)

□ Mkutano wa Utumishi:

Wimbo 132

Dak. 10: Matangazo. “Mapenzi ya Mungu na Yatendeke.” Maswali na majibu. Tangaza tarehe ya kusanyiko la pekee ikiwa inajulikana.

Dak. 25: “Je, Unaweza ‘Kuvuka Uingie Makedonia’?” Maswali na majibu. Mhoji mhubiri mmoja, ikiwa anapatikana, ambaye alihamia nchi au eneo lisilogawiwa yeyote ili kuhubiri habari njema. Zungumzieni habari zinazohusu nchi yenu.

Wimbo 95 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki