Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 10/11 uku. 7
  • Pitio la Shule ya Huduma ya Kitheokrasi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Pitio la Shule ya Huduma ya Kitheokrasi
  • Huduma Yetu ya Ufalme—2011
Huduma Yetu ya Ufalme—2011
km 10/11 uku. 7

Pitio la Shule ya Huduma ya Kitheokrasi

Maswali yafuatayo yatazungumziwa katika Shule ya Huduma ya Kitheokrasi juma linaloanza Oktoba 31, 2011.

1. Kwa nini tushikamane na vikumbusho vya Yehova? (Zab. 119:60, 61) [w00 12/1 uku. 14 fu. 3]

2. Tunaweza kujifunza somo gani katika andiko la Zaburi 133:1-3? [w06 9/1 uku. 16 fu. 3]

3. Ni katika njia gani Yehova alikuwa ‘amemchunguza kabisa’ Daudi na ‘kupima kusafiri na kulala kwake akiwa amejinyoosha’? (Zab. 139:1, 3) [w06 9/1 uku. 16 fu. 6; w93 10/1 uku. 11 fu. 6]

4. Yehova “anawategemeza” au ‘kuwainua’ watumishi wake wanapokabili matatizo ya aina gani? (Zab. 145:14) [w04 1/15 uku. 17 fu. 11]

5. Ni mambo gani yanayomfanya mtu anayetajwa kwenye Methali 6:12-14 aonwe kuwa asiyefaa kitu? [w00 9/15 uku. 26 fu. 5-6]

6. Kwa nini mtu mwenye hekima ‘hukubali amri’? (Met. 10:8) [w01 7/15 uku. 26 fu. 1]

7. Wenye hekima hutofautianaje na wapumbavu wanapotukanwa au kuchambuliwa isivyofaa? (Met. 12:16) [w03 3/15 uku. 27 fu. 3-4]

8. Ni katika njia gani mtazamo unaofaa hutuwezesha kuwa na “karamu sikuzote”? (Met. 15:15) [w06 7/1 uku. 16 fu. 6]

9. Ni nini kinachohusika katika ‘kujipatia moyo’ na ni kwa njia gani anayefanya hivyo “anapenda nafsi yake mwenyewe”? (Met. 19:8) [w99 7/1 uku. 18 fu. 4; it-1-E uku. 1059 fu. 1]

10. Utambuzi au ufahamu unaweza kufaidije nyumba? (Met. 24:3) [w06 9/15 uku. 27 fu. 11; be uku. 31 fu. 6]

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki