Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 10/11 uku. 8
  • Habari Kuu za Utumishi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Habari Kuu za Utumishi
  • Huduma Yetu ya Ufalme—2011
Huduma Yetu ya Ufalme—2011
km 10/11 uku. 8

Habari Kuu za Utumishi

Tanzania: Tulifurahi kuona mapainia wasaidizi 3,418 wakishiriki katika kampeni ya pekee wakati wa majira ya Ukumbusho mwezi wa Aprili. Hiyo ilikuwa asilimia 23 ya wahubiri waliotoa ripoti mwezi huo kutia ndani mapainia wa kawaida na wa pekee 1,566. Kwa sababu ya jitihada zao pamoja na bidii ya wahubiri wengine, mafunzo ya Biblia 26,304 yaliongozwa mwenzi wa Aprili. Hayo yalikuwa mafunzo 4,502 zaidi ya yale yaliyoongozwa mwaka uliotangulia.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki