Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 12/11 uku. 2
  • Ratiba ya Juma Linaloanza Desemba 19

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ratiba ya Juma Linaloanza Desemba 19
  • Huduma Yetu ya Ufalme—2011
  • Vichwa vidogo
  • JUMA LINALOANZA DESEMBA 19
Huduma Yetu ya Ufalme—2011
km 12/11 uku. 2

Ratiba ya Juma Linaloanza Desemba 19

JUMA LINALOANZA DESEMBA 19

Wimbo 125 na Sala

□ Funzo la Biblia la Kutaniko:

bt sura ya 14 ¶6-10, sanduku kwenye uku. 110 (Dak. 25)

□ Shule ya Huduma ya Kitheokrasi:

Usomaji wa Biblia: Isaya 11-16 (Dak. 10)

Na. 1: Isaya 13:1-16 (Isizidi dak. 4)

Na. 2: Kwa Nini Tunatembea kwa Imani Bali Si kwa Kuona?—2 Kor. 5:7 (Dak. 5)

Na. 3: Mtu akisema: ‘Hali Si Mbaya Sana Leo; Sikuzote Kumekuwako Vita, Njaa, Matetemeko ya Nchi, na Uhalifu’—rs p. 292 ¶1–4 (Dak. 5)

□ Mkutano wa Utumishi:

Wimbo 81

Dak. 10: Matangazo. Taja toleo la mwezi wa Januari, na upange onyesho la jinsi ya kutoa kitabu hicho.

Dak. 15: Hubiri Katika Majira Yenye Taabu. (2 Tim. 4:2) Mazungumzo yanayotegemea Kitabu cha Mwaka—2011, ukurasa wa 121 hadi 123, fungu la 1, na ukurasa wa 226. Waombe wasikilizaji waeleze mambo ambayo wamejifunza.

Dak. 10: Sanduku la Swali. Mazungumzo. Yashughulikiwe na mwangalizi wa utumishi.

Wimbo 92 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki