Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 5/12 uku. 2
  • Ratiba ya Linaloanza Mei 21

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ratiba ya Linaloanza Mei 21
  • Huduma Yetu ya Ufalme—2012
  • Vichwa vidogo
  • JUMA LINALOANZA MEI 21
Huduma Yetu ya Ufalme—2012
km 5/12 uku. 2

Ratiba ya Linaloanza Mei 21

JUMA LINALOANZA MEI 21

Wimbo 121 na Sala

□ Funzo la Biblia la Kutaniko:

bt sura ya 21 ¶1-7, sanduku kwenye uku. 166 (Dak. 25)

□ Shule ya Huduma ya Kitheokrasi:

Usomaji wa Biblia: Yeremia 44-48 (Dak. 10)

Na. 1: Yeremia 46:18-28 (Isizidi dak. 4)

Na. 2: Je, Maria Alikingiwa Asirithi Dhambi Mama Yake Alipomchukua Mimba?—rs uku. 184 ¶1–2 ¶ (Dak. 5)

Na. 3: Ni kwa Njia Gani Tunaweza Kupanda “kwa Roho”?—Gal. 6:8 (Dak. 5)

□ Mkutano wa Utumishi:

Wimbo 95

Dak. 10: Matangazo. Taja toleo la mwezi wa Juni, na upange onyesho.

Dak. 15: Vijana, Mnaweza Kufanya Upainia Msaidizi Wakati wa Likizo? Hotuba. Pitia kwa ufupi fungu la 1 kwenye ukurasa wa 113 wa kitabu Tengenezo, na utaje matakwa ya kuwa painia msaidizi. Kisha, mhoji mhubiri mmoja au wawili ambao walitumia wakati wa likizo kufanya upainia msaidizi. Watie moyo vijana wafikirie kufanya upainia msaidizi wakati wa likizo ijayo.

Dak. 10: “Mungu Asema Nasi Kupitia Yeremia.” Maswali na majibu.

Wimbo 41 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki