Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 9/13 uku. 4
  • Habari Kuu za Utumishi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Habari Kuu za Utumishi
  • Huduma ya Ufalme—2013
Huduma ya Ufalme—2013
km 9/13 uku. 4

Habari Kuu za Utumishi

Uganda: Tunafurahi kuwajulisha kwamba katika mwezi wa Machi kulikuwa na vilele sita vipya ambavyo havijawahi kufikiwa. Kulikuwa na jumla ya wahubiri 6,156 kutia ndani mapainia wa kawaida 762 waliotoa ripoti ya saa 183,806, magazeti 127,914, ziara za kurudia 93,221, na mafunzo ya Biblia 17,048. Kwa kuongezea, kulikuwa na jumla ya mapainia wasaidizi 1,847. Ni jambo lenye kutia moyo kuona wengi ‘wakifanya kazi kwa bidii na kujikaza wenyewe’ katika ibada safi.​—1 Tim. 4:10.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki