Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 1/14 uku. 1
  • Ratiba ya Juma Linaloanza Januari 13

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ratiba ya Juma Linaloanza Januari 13
  • Huduma Yetu ya Ufalme—2014
  • Vichwa vidogo
  • JUMA LINALOANZA JANUARI 13
Huduma Yetu ya Ufalme—2014
km 1/14 uku. 1

Ratiba ya Juma Linaloanza Januari 13

JUMA LINALOANZA JANUARI 13

Wimbo 131 na Sala

Funzo la Biblia la Kutaniko:

cl sura ya 1 ¶10-17 (Dak. 30)

Shule ya Huduma ya Kitheokrasi:

Usomaji wa Biblia: Mwanzo 6-10 (Dak. 10)

Na. 1: Mwanzo 9:18–10:7 (Isizidi dak. 4)

Na. 2: Mtu Akisema, ‘Maadamu Unamwamini Yesu,Haidhuru Unashirikiana na Kanisa Gani’​—rs uku. 68 ¶3 (Dak. 5)

Na. 3: Je, Vita vya Har–Magedoni Vinapatana na Upendo wa Mungu?—td 7B (Dak. 5)

Mkutano wa Utumishi:

Wimbo 69

Dak. 10: Umuhimu wa Kurudia Mawazo Makuu Katika Huduma ya Shambani. Hotuba inayotegemea kitabu Shule ya Huduma, ukurasa wa 206-207. Panga kuwe na onyesho fupi ili kuonyesha angalau jambo moja kuu kutokana na habari hiyo.

Dak. 10: Wanaume Wanaohudumu kwa Njia Nzuri. (1 Tim. 3:13) Wahoji watumishi wa huduma wawili. Wana majukumu gani kutanikoni na yanahusisha mambo gani? Kwa nini walifikia pendeleo hilo la kuwa watumishi wa huduma? Kwa nini wanafurahia kuwatumikia ndugu zao kutanikoni na kuwasaidia wazee?

Dak. 10: “Wachukueni Manabii Kuwa Kielelezo—Mika.” Maswali na majibu.

Wimbo 35 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki