Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 7/14 uku. 2
  • Ratiba ya Juma Linaloanza Julai 21

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ratiba ya Juma Linaloanza Julai 21
  • Huduma Yetu ya Ufalme—2014
  • Vichwa vidogo
  • JUMA LINALOANZA JULAI 21
Huduma Yetu ya Ufalme—2014
km 7/14 uku. 2

Ratiba ya Juma Linaloanza Julai 21

JUMA LINALOANZA JULAI 21

Wimbo 73 na Sala

cl sura ya 10 ¶8-17 (Dak. 30)

Usomaji wa Biblia: Mambo ya Walawi 25-27 (Dak. 10)

Na. 1: Mambo ya Walawi 26:1-17 (Isizidi dak. 4)

Na. 2: Je, Wanadamu Wote Mwishowe Wataokolewa?—rs uku. 415 ¶2 (Dak. 5)

Na. 3: Mume Hapaswi Kumruhusu Mke Amzuie Asimtumikie Mungu—td 38C (Dak. 5)

Wimbo 67

Dak. 10: Tunaheshimiwa kwa Sababu ya Mwenendo Wetu Mzuri na Kutounga Mkono Upande Wowote. Mazungumzo yanayotegemea Kitabu cha Mwaka—2014, ukurasa wa 120 na 149. Waombe wasikilizaji waeleze mambo waliyojifunza.

Dak. 10: Je, Utafanya Upainia Msaidizi Mwezi wa Agosti? Hotuba. Wahoji wahubiri wawili au watatu, ambao wanapanga kuwa mapainia wasaidizi mwezi wa Agosti licha ya matatizo ya afya au ratiba yenye shughuli nyingi. Wanafanya marekebisho gani ili waweze kufanya upainia msaidizi? Mwombe mwangalizi wa utumishi aeleze mipango ya utumishi wa shambani katika mwezi wa Agosti.

Dak. 10: “Yehova Huona Nini Anaponitazama?” Maswali na majibu.

Wimbo 65 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki