Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 7/14 uku. 3
  • Ratiba ya Juma Linaloanza Julai 28

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ratiba ya Juma Linaloanza Julai 28
  • Huduma Yetu ya Ufalme—2014
  • Vichwa vidogo
  • JUMA LINALOANZA JULAI 28
Huduma Yetu ya Ufalme—2014
km 7/14 uku. 3

Ratiba ya Juma Linaloanza Julai 28

JUMA LINALOANZA JULAI 28

Wimbo 58 na Sala

cl sura ya 10 ¶18-21, sanduku kwenye uku. 106 (Dak. 30)

Usomaji wa Biblia: Hesabu 1-3 (Dak. 10)

Na. 1: Hesabu 3:21-38 (Isizidi dak. 4)

Na. 2: “Watu wa Namna Zote” Wataokolewa—rs uku. 416 ¶1 (Dak. 5)

Na. 3: Kuponya Kiroho Kuna Faida Zenye Kudumu—td 16A (Dak. 5)

Wimbo 89

Dak. 10: Je, Umejitayarisha Kukabiliana na Hali Ngumu Shuleni? Mazungumzo. Waombe wasikilizaji wataje baadhi ya hali ngumu ambazo vijana Wakristo hukabili shuleni. Eleza jinsi wazazi wanavyoweza kutumia Tovuti yetu na vifaa vingine ili kuwatayarisha watoto wao. (1 Pet. 3:15) Zungumzia hali ngumu moja au mbili, na ueleze baadhi ya habari kutoka katika tengenezo zinazoandaa msaada. Waombe wasikilizaji watoe maelezo kuhusu jinsi walivyofaulu kutoa ushahidi walipokuwa shuleni.

Dak. 10: Mhoji Mwandishi. Mgawo wako unahusisha nini? Waangalizi wa vikundi vya utumishi na wahubiri, wanawezaje kukusaidia ili utayarishe na kutuma ripoti ya utumishi wa shambani iliyo sahihi bila kuchelewa? Ripoti sahihi inawasaidiaje wazee, mwangalizi wa mzunguko, na ofisi ya tawi kutoa kitia-moyo kinachohitajiwa?

Dak. 10: “Wachukueni Manabii Kuwa Kielelezo—Sefania.” Maswali na majibu.

Wimbo 70 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki