Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 8/14 uku. 2
  • Ratiba ya Juma LInaloanza Agosti 18

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ratiba ya Juma LInaloanza Agosti 18
  • Huduma Yetu ya Ufalme—2014
  • Vichwa vidogo
  • JUMA LINALOANZA AGOSTI 18
Huduma Yetu ya Ufalme—2014
km 8/14 uku. 2

Ratiba ya Juma LInaloanza Agosti 18

JUMA LINALOANZA AGOSTI 18

Wimbo 78 na Sala

cl sura ya 11 ¶17-22, sanduku kwenye uku. 116 (Dak. 30)

Usomaji wa Biblia: Hesabu 10-13 (Dak. 10)

Na. 1: Hesabu 10:1-16 (Isizidi dak. 4)

Na. 2: Kwa Nini Lazima Imani Iwe na Matendo—rs uku. 417 ¶5–uku. 418 ¶2 (Dak. 5)

Na. 3: Kusema kwa Lugha Kulikuwa kwa Muda Mfupi Tu—td 16D (Dak. 5)

Wimbo 74

Dak. 15: “Karne Moja ya Kuutangaza Ufalme!”—Sehemu ya 1. (Fungu 1-3) Mazungumzo yanayotegemea mafungu matatu ya kwanza na kitabu Wapiga-Mbiu, ukurasa wa 259-260. Baada ya kuuliza swali la fungu la tatu, wahoji wahubiri wawili ambao ni Mashahidi wa muda mrefu. Waombe wasimulie mambo yaliyoonwa walipoanza kuhubiri.

Dak. 15: “Karne Moja ya Kuutangaza Ufalme!”—Sehemu ya 2. (Fungu 4-6) Maswali na majibu. Mnapozungumzia fungu la tano na la sita, wahoji mapainia wawili kuhusu jinsi walivyofaulu kupata nafasi ya kufanya utumishi wa wakati wote.

Wimbo 103 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki