Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 1/15 uku. 4
  • Habari Kuu za Utumishi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Habari Kuu za Utumishi
  • Huduma Yetu ya Ufalme—2015
Huduma Yetu ya Ufalme—2015
km 1/15 uku. 4

Habari Kuu za Utumishi

Kenya: Ilipendeza sana kufikia kilele kipya cha wahubiri 27,431 na kusambaza trakti, vijitabu, na broshua zaidi ya milioni moja katika mwezi wa Agosti.

Sudan Kusini: Katika mwezi wa Agosti kulikuwa na ongezeko la utendaji na vilele vipya vya mapainia wasaidizi 169, trakti, vijitabu, na broshua 27,755, saa 30,667 na magazeti 16,853.

Sudan: Ripoti ya Agosti inaonyesha ongezeko la wahubiri kwa asilimia 26 ukilinganisha na wastani wa mwaka uliopita, na kilele kipya cha trakti, vijitabu, na broshua 8,270.

Tanzania: Kulikuwa na kilele kipya cha magazeti 201,761 yaliyosambazwa katika mwezi wa Agosti na wahubiri waliongoza mafunzo ya Biblia 32,746.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki