Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 3/15 uku. 8
  • Habari Kuu za Utumishi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Habari Kuu za Utumishi
  • Huduma Yetu ya Ufalme—2015
Huduma Yetu ya Ufalme—2015
km 3/15 uku. 8

Habari Kuu za Utumishi

Uganda: Ripoti ya utumishi wa shambani ya mwezi wa Agosti pamoja na ripoti ya mwisho wa mwaka wa utumishi 2014 inaonyesha baraka za Yehova na bidii nyingi iliyoonyeshwa katika huduma. Kilele kipya cha wahubiri 6,737 kiliripotiwa katika mwezi wa Agosti. Pia kulikuwa na vilele vipya katika idadi ya magazeti na mafunzo ya Biblia. Kwa ujumla, katika mwaka wa utumishi wa 2014 kumekuwa na ongezeko la asilimia 6 katika idadi ya wahubiri, asilimia 12 ya mafunzo ya Biblia, na inatia moyo sana kuona ongezeko la asilimia 35 ya mapainia wasaidizi, na watu 566 walibatizwa.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki