Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 5/15 uku. 1
  • Ratiba ya Juma Linaloanza Mei 11

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ratiba ya Juma Linaloanza Mei 11
  • Huduma Yetu ya Ufalme—2015
  • Vichwa vidogo
  • JUMA LINALOANZA MEI 11
Huduma Yetu ya Ufalme—2015
km 5/15 uku. 1

Ratiba ya Juma Linaloanza Mei 11

JUMA LINALOANZA MEI 11

Wimbo 84 na Sala

Funzo la Biblia la Kutaniko:

cl sura ya 24 ¶11-17 (Dak. 30)

Shule ya Huduma ya Kitheokrasi:

Usomaji wa Biblia: 2 Samweli 4-8 (Dak. 8)

Na. 1: 2 Samweli 6:14-23 (Isizidi dak. 3)

Na. 2: Ni Nini Hutokea Mtu Anapokufa?—igw uku. 18 ¶1-3 (Dak. 5)

Na. 3: Kwa Nini Yesu Aliweza Kulipa Fidia?—td 6B (Dak. 5)

Mkutano wa Utumishi:

Kichwa cha Mwezi Huu: Wasaidie watu wa namna zote wapate ujuzi sahihi wa kweli.—1 Tim. 2:3, 4.

Wimbo 92

Dak. 10: Wasaidie Watu wa Namna Zote Wapate Ujuzi Sahihi wa Kweli. Hotuba inayotegemea kichwa cha mwezi. (Ona gazeti la Mnara wa Mlinzi, la Novemba 15, 2013, uku. 11-12, fu. 8.) Soma na uzungumzie 1 Timotheo 2:3, 4 na 1 Wakorintho 9:19-23. Pitia baadhi ya sehemu za Mkutano wa Utumishi zitakazozungumziwa katika majuma yajayo, na ukazie jinsi zinavyohusiana na kichwa cha mwezi.

Dak. 20: “Kuboresha Ustadi Wetu Katika Huduma—Kumhubiria Mtu Anayezungumza Lugha Nyingine.” Mazungumzo. Panga kuwe na onyesho fupi la jinsi mhubiri anavyoweza kutoa ushahidi kwa kutumia kijitabu Good News for People of All Nations, katika utumishi wa nyumba kwa nyumba.

Wimbo 105 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki