Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 7/15 uku. 2
  • Ratiba ya Juma Linaloanza Julai 20

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ratiba ya Juma Linaloanza Julai 20
  • Huduma Yetu ya Ufalme—2015
  • Vichwa vidogo
  • JUMA LINALOANZA JULAI 20
Huduma Yetu ya Ufalme—2015
km 7/15 uku. 2

Ratiba ya Juma Linaloanza Julai 20

JUMA LINALOANZA JULAI 20

Wimbo 73 na Sala

Funzo la Biblia la Kutaniko:

cl sura ya 27 ¶19-22, sanduku kwenye uku. 279 (Dak. 30)

Shule ya Huduma ya Kitheokrasi:

Usomaji wa Biblia: 1 Wafalme 12-14 (Dak. 8)

Na. 1: 1 Wafalme 12:21-30 (Isizidi dak. 3)

Na. 2: Wakristo Hawawajibiki Kushika Sabato—td 28A (Dak. 5)

Na. 3: Biblia Inaweza Kuwasaidiaje Waume na Akina Baba?—igw uku. 26 ¶1-2 (Dak. 5)

Mkutano wa Utumishi:

Kichwa cha Mwezi Huu: “Nendeni mkafanye wanafunzi.”—Mt. 28:19, 20.

Wimbo 89

Dak. 20: Wasaidie Watoto Wako Wawe Wanafunzi kwa Kutumia Hadithi za Biblia Zilizochorwa. Mazungumzo yanayotegemea hadithi ya Biblia iliyochorwa, “Mungu Amtuma Musa Nchini Misri.” (Tembelea Tovuti ya jw.org/sw, na utazame chini ya MAFUNDISHO YA BIBLIA > WATOTO.) Onyesha hadithi hiyo ili watazamaji wafuatane nawe unapoizungumzia. Ikiwa inawezekana waombe watoto wasome sehemu za kila mhusika. Baadaye, waalike jukwaani watoto ambao umepata idhini kutoka kwa wazazi wao, ili wazungumzie pamoja maswali yaliyo katika sanduku lenye kichwa, “Tunajifunza Nini Kutokana na Hadithi Hii?” Malizia kwa kuwatia moyo wazazi watumie hadithi hizo kuwasaidia watoto wao kuwa wanafunzi. Ikiwa haiwezekani kutumia Tovuti ya jw.org/sw, zungumzia jinsi tunavyoweza kuwafundisha watoto kwa kutumia picha zilizo katika kitabu Hadithi za Biblia au Jifunze Kutoka kwa Mwalimu Mkuu.

Dak. 10: Sanduku la Swali. Mazungumzo.

Wimbo 66 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki