Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 7/15 uku. 4
  • Ratiba ya Juma Linaloanza Agosti 3

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ratiba ya Juma Linaloanza Agosti 3
  • Huduma Yetu ya Ufalme—2015
  • Vichwa vidogo
  • JUMA LINALOANZA AGOSTI 3
Huduma Yetu ya Ufalme—2015
km 7/15 uku. 4

Ratiba ya Juma Linaloanza Agosti 3

JUMA LINALOANZA AGOSTI 3

Wimbo 63 na Sala

Funzo la Biblia la Kutaniko:

cl sura ya 28 ¶10-17 (Dak. 30)

Shule ya Huduma ya Kitheokrasi:

Usomaji wa Biblia: 1 Wafalme 18 -20 (Dak. 8)

Na. 1: 1 Wafalme 18:30-40 (Isizidi dak. 3)

Na. 2: Pumziko la Mungu la Sabato Lilianza Lini na Litaisha Lini?—td 28C (Dak. 5)

Na. 3: Biblia Inaweza Kuwasaidiaje Watoto?—igw uku. 27 ¶1-2 (Dak. 5)

Mkutano wa Utumishi:

Kichwa cha Mwezi Huu: “Nendeni mkafanye wanafunzi.”—Mt. 28:19, 20.

Wimbo 130

Dak. 10: Toa Magazeti Mwezi wa Agosti. Mazungumzo. Anza kwa onyesho la jinsi magazeti yanavyoweza kutolewa kwa kutumia mapendekezo yaliyo kwenye ukurasa huu. Kisha changanua mapendekezo hayo.

Dak. 10: Faidika kwa Kuyachunguza Maandiko Kila Siku. Mazungumzo. Anza kwa hotuba ya dakika tano inayotegemea andiko la mwaka wa 2015. Halafu, waombe wasikilizaji waeleze ni wakati gani wao huzungumzia andiko la siku. Malizia kwa kuwatia moyo wote wasome kijitabu Kuyachunguza Maandiko Kila Siku.

Dak. 10: Mahitaji ya kutaniko.

Wimbo 26 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki