Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 12/15 uku. 2
  • Ratiba ya Juma Linaloanza Desemba 14

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ratiba ya Juma Linaloanza Desemba 14
  • Huduma Yetu ya Ufalme—2015
  • Vichwa vidogo
  • JUMA LINALOANZA DESEMBA 14
Huduma Yetu ya Ufalme—2015
km 12/15 uku. 2

Ratiba ya Juma Linaloanza Desemba 14

JUMA LINALOANZA DESEMBA 14

Wimbo 50 na Sala

Funzo la Biblia la Kutaniko:

ia sura ya 4 ¶16-31, mambo ya kufikiria kwenye uku. 41 (Dak. 30)

Shule ya Huduma ya Kitheokrasi:

Usomaji wa Biblia: 2 Mambo ya Nyakati 15-19 (Dak. 8)

Na. 1: 2 Mambo ya Nyakati 16:1-9 (Isizidi dak. 3)

Na. 2: Ukaldayo Ilikuwa Wapi, na Wakaldayo Walikuwa Nani? (Dak. 5)

Na. 3: Mungu Hasababishi Taabu za Ulimwengu—td 37A (Dak. 5)

Mkutano wa Utumishi:

Kichwa cha Mwezi Huu: “Lazima tuingie katika Ufalme wa Mungu kupitia dhiki nyingi.” —Matendo 14:22.

Wimbo 128

Dak. 30: “Tembea kwa Imani, Si kwa Kuona.” Maswali na majibu. Tumia habari iliyo katika fungu la kwanza na la mwisho ili kutoa utangulizi na umalizio mfupi. Mahali ambapo video haipatikani, zungumzia habari kutoka makala “Tembea kwa Imani, Si kwa Kuona!” katika gazeti la Mnara wa Mlinzi la Septemba 15, 2005, ukurasa wa 16-20.

Wimbo 133 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki