Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Januari uku. 4
  • Yehova Huthamini Toba ya Kweli

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yehova Huthamini Toba ya Kweli
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
  • Habari Zinazolingana
  • Yosia Mnyenyekevu Alipendwa na Yehova
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2000
  • Unaweza Kufanikiwa Licha ya Malezi Yako
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2001
  • Kutoa Dhabihu Ambazo Zinampendeza Mungu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2007
  • Kitabu Cha Biblia Namba 14—2 Mambo Ya Nyakati
    “Kila Andiko, Lenye Pumzi ya Mungu, Lafaa”
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Januari uku. 4

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | 2 MAMBO YA NYAKATI 33-36

Yehova Huthamini Toba ya Kweli

Makala Iliyochapishwa

MANASE

Yehova aliruhusu atekwe na Waashuru na kupelekwa Babiloni akiwa amefungwa pingu

Mfalme Manase akiwa utekwani

UTAWALA KABLA YA KUTEKWA

  • Alijenga madhabahu ya miungu ya uwongo

  • Aliwatoa dhabihu watoto wake

  • Aliwaua watu wasio na hatia

  • Aliendeleza mazoea ya kuwasiliana na pepo katika taifa lote

UTAWALA BAADA YA KUWEKWA HURU

  • Alijinyenyekeza sana

  • Alisali kwa Yehova; alitoa dhabihu

  • Aliondoa madhabahu ya miungu ya uwongo

  • Aliwahimiza Waisraeli wamtumikie Yehova

YOSIA

Mfalme Yosia

KIPINDI CHOTE CHA UTAWALA WAKE

  • Alimtafuta Yehova

  • Alisafisha Yuda na Yerusalemu

  • Alirekebisha nyumba ya Yehova na kupata kitabu cha Sheria

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki