Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Aprili uku. 5
  • Aprili 18-24

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Aprili 18-24
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Aprili uku. 5

Aprili 18-24

AYUBU 28-32

  • Wimbo 17 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Ayubu Alituwekea Kielelezo Kizuri cha Utimilifu”: (Dak. 10)

    • Ayu 31:1—Ayubu alifanya “agano” pamoja na macho yake (w15 6/15 16 ¶13; w15 1/15 25 ¶10)

    • Ayu 31:13-15—Ayubu alikuwa mnyenyekevu, mwenye haki, na aliwajali wengine (w10 11/15 30 ¶8-9)

    • Ayu 31:16-25—Ayubu alikuwa mkarimu kwa wale waliokuwa na uhitaji (w10 11/15 30 ¶10-11)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Ayu 32:2—Ni kwa njia gani Ayubu “aliitangaza nafsi yake mwenyewe kuwa adilifu badala ya Mungu”?(w15 7/1 12 ¶2; it-1 606 ¶5)

    • Ayu 32:8, 9—Kwa nini Elihu alihisi kwamba anaweza kuongea ingawa alikuwa na umri mdogo kuliko wasikilizaji wake? (w06 3/15 16 ¶1; it-2 549 ¶6)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili unanifundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni mambo gani katika usomaji wa Biblia wa juma hili ninayoweza kutumia katika huduma ya shambani?

  • Usomaji wa Biblia: Ayubu 30:24–31:14 (Isizidi dak. 4)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: g16.2 12-13—Weka msingi wa ziara ya kurudia. (Isizidi dak. 2)

  • Ziara ya Kurudia: g16.2 12-13—Weka msingi wa ziara inayofuata. (Isizidi dak. 4)

  • Funzo la Biblia: bh 148 ¶8-9 (Isizidi dak. 6)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 115

  • Jifunze Kupitia Utimilifu wa Wengine (1Pe 5:9): (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa, Harold King: Alidumisha Uaminifu Akiwa Gerezani. (Tembelea Tovuti ya tv.jw.org, tafuta kwenye VIDEO ON DEMAND > INTERVIEWS AND EXPERIENCES.) Baada ya hapo, zungumzia maswali yafuatayo: Ndugu King alidumishaje hali yake ya kiroho alipokuwa gerezani? Kuimba nyimbo za Ufalme kunaweza kutusaidiaje kuvumilia hali ngumu maishani? Mfano wa uaminifu wa Ndugu King umekuchocheaje?

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: ia sura ya 13 ¶13-25, mambo ya kufikiria kwenye uku. 114 (Dak. 30)

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza, na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 81 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki